Mzazi unachangiaje maendeleo ya elimu ya mtoto wako?

Wazazi wanapochangia ujenzi wa madarasa/shule, wanatimiza wajibu wao kwa mtoto kwa asilimia 10 tu. Asilimia 90 ya wajibu wao ni kumjenga mtoto mwenyewe. Maana shule ya kwanza ya mtoto ni mafunzo na malezi bora ya wazazi. Je, Serikali inawahimiza wazazi kufanya hivyo?

Academic ParentingBinadamu na MaendeleoMwalimu Nyerere aliliona hili na kusisitiza kuwa jamii yapaswa kutumia nguvu nyingi kujenga mtu kwanza. Na tukiwa na watu waliojengeka (elimika) ujenzi wa miundombinu yote itakuwa rahisi na ya kiufanisi zaidi, na hatimaye taifa litaendelea haraka. Haya yamo ndani ya kitabu chake kiitwacho ‘Binadamu na Maendeleo.’

Je Jamii na Serikali vimetilia mkazo katika kuwajenga watoto kwanza ili kazi ya kuwaelimisha iwe rahisi zaidi na matunda ya elimu yalete maendeleo kwa Taifa? Pata Jibu la swali hili kwa kusoma makala hii kama ilivyoandikwa katika gazeti la Mwananchi mtandaoni siku ya Jumanne,Oktoba22  2013 Hapa

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s