Angalia picha hii ya kupendeza iliyosheheni nyota. Ni wapi jicho lako lilipovutiwa zaidi katika picha hii? Je ni kwenye mkusanyiko wa nyota za bluu na nyeupe zilizopo katikati upande wa kushoto? Huu ni mkusanyiko wa nyota nyingi changa, ambazo zina joto kali sana. Sasa bofya hapa ili uendelee kusoma zaidi
Advertisements